RAIS MUGABE AFARIKI DUNIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS MUGABE AFARIKI DUNIA

RAIS wa zamani wa nchini Zimbabwe, Robart Mugabe amefariki dunia akiwa na miaka 95 huko nchini Singapore alipokuwa akipata matiabu.
Hayati Mugabe aliongoza nchi ya Zimbabwe kuanzia mwaka 1980 hadi 2017 ambapo alipata mrithi wake ambaye ni Rais wa sasa wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa.
Mugabe alizaliwa Februari 21, 1924 kwenye koloni la Rhodesia.
Rais Mugabe ambaye alionekana akisema maneno mengi ya masihara katika mtandao ya kijamii na yenye ukweli ndani yake kama "SOMETIMES YOU LOOK BACK TO YOUR AT GIRLS YOU SPEND MONEY ON RATHER IT TO YOUR MUM AND REALISE WITCHCRAFT IS REAL".
Pengine unaweza kusema Mugabe ni Rais aliyekuwa na shahada nyingi kuliko walio wengi, Mugabe alikuwa na shahada saba. Digrii yake ya kwanza alipata kutoka chuo kikuu cha Fort Hare, Afrika Kusini na shahada zake nyinginealisoma kupitia mtandao akiwa gerezani.
Hata hivyo Mugabe alipohojiwa na BBC Kuhusu afya yake, alisema," Nimekufa mara nyingi hapo ndipo nimemshinda Yesu Kristo. Yesu alikufa mara moja, na akafufuka mar... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More