RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Agosti 9, 2018Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda  akiwapungia wananchi waliokwenda kumpokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Agosti 9, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwambulisha viongozi mbalimbali kwa mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Agosti 9, 2018Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha ikulu mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja leo Agosti 9, 2018Copyright 2007-... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More