Rais Museveni kumfuata Rais Magufuli kesho - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Museveni kumfuata Rais Magufuli kesho

YOWERI Museveni, Rais wa Uganda anatarajiwa kutua kwenye ardhi ya Tanzania kesho 13 Julai 2019, kwa ziara ya siku moja. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Taarifa ya Kurugenzi ya Ikulu iliyotolewa leo tarehe 12 Julai 2019 imeeleza kuwa, Rais Museveni anatarajiwa kuja Tanzania kumtembelea Rais Magufuli nyumbani kwake wilayani Chato, Mkoa wa Geita. Rais Museveni na ...


Source: MwanahalisiRead More