Rais Shein ajigamba kupunguza utegemezi Z’bar - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Shein ajigamba kupunguza utegemezi Z’bar

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Shein amesema utegemezi wa fedha katika bajeti ya serikali yake umepungua kutoka asilimia  30 alipoingia madarakani hadi kufikia asilimia 5.1 kwa mwaka wa fedha wa 2018/19. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Dk. Shein amesema hayo leo tarehe 12 Januari 2019, wakati akihutubia katika sherehe za maadhimisho ...


Source: MwanahalisiRead More