Rais Trump airudisha ZTE Marekani kufanya biashara - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Trump airudisha ZTE Marekani kufanya biashara

Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwa njia ya Twetter kuwa Marekani na Uchina zinafanya juhudi kuifanya kampuni ya ZTE ya nchini Uchina irudi kwenye biashara yake, baada ya kupigwa marufuku nchini Marekani. Rais Trump amechapisha kupitia akaunti yake ya Twitter kwamba pande hizo mbili zinafanya kazi kwa pamoja ili kutafuta njia ya kuifanya kampuni [...]


The post Rais Trump airudisha ZTE Marekani kufanya biashara appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More