Rais Uhuru Kenyatta amejitenga na baadhi ya wanasiasa Jubilee wanaompinga naibu wake - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais Uhuru Kenyatta amejitenga na baadhi ya wanasiasa Jubilee wanaompinga naibu wake

Dhoruba kali iliyokikumba chama tawala cha Kenya Jubilee imeanza kutilia shaka iwapo demokrasia ya vyama vingi imeshika mizizi ama ni siasa zisiokuwa na misingi ya vyama ambazo zimeendelea kuwepo hata chini ya mfumo wa vyama vingi.


Source: BBC SwahiliRead More