RAIS WA KONGO (DRC) MHE. FELIX TSHISEKEDI AWASILI NCHINI,APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE DKT. MAGUFULI JUNI 13, 2019 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA KONGO (DRC) MHE. FELIX TSHISEKEDI AWASILI NCHINI,APOKELEWA NA MWENYEJI WAKE DKT. MAGUFULI JUNI 13, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa. Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi akikabidhiwa Ua la ishara ya Upendo na kumkaribisha Nchini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Rais Dkt.John Pombe Magufuli kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antonio Tshisekedi wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kuelekea Ikulu kwaajili ya Mazungumzo na Dhifa ya Kitaifa. Rais wa Jamhuri ya K... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More