Rais wa Real Madrid akerwa na maamuzi ya Zidane kuifundisha United - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais wa Real Madrid akerwa na maamuzi ya Zidane kuifundisha United

Rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez ameghadhibika baada ya kusikia mipango ya aliyekuwa kocha wao,  Zinedine Zidane kutaka kuinoa Manchester United.Perez anaamini Zidane anahitaji kuifundisha Manchester United kwa udi na uvumba hali inayomfanya rais huyo kuchukizwa wakati hakutimuliwa Real Madrid.


Zidane kurudi kazini hivi punde, atangaza kutua Old Trafford na wachezaji hawa hatari


Zidane ameachana na Madrid baada ya miaka mitatu ya ufalme wake Bernabeu na kuipatia mataji matatu mfululizo ya UEFA Champions League huku Perez alitumaini angeendelea kusalia klabuni hapo.


Zinedine Zidane Manchester United


United yakanusha ujio wa Zidane ‘Kwa nini tumzungumzie wakati hakuna nafasi ya kazi’


Mfaransa huyo anatarajiwa kuchukua mikoba ya Jose Mourinho ndani ya klabu ya Manchester United ikiwa ni mara ya kwanza kurejea tena kwenye soka la ufundishaji tangu kuachana na Madrid.


Kwa mujibu wa gazeti la nchini Hispania El Confidencial, limesema kuwa maamuzi ya Zidane kurejea na kuifundisha Man United kumemkera ra... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More