Rais wa TFF kafunguka kuhusu Ndondo Cup - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais wa TFF kafunguka kuhusu Ndondo Cup

Miongoni mwa wadau wa muhimu kwenyesoka ni Rais wa TFF Wallace Karia, leo alijumuika na mashabiki kushuhudia game ya ufunguzi wa Ndondo Cup 2018.


Dauda TV imefanikiwa kufanya nae mahojiano ambapo amepongeza pamoja na kutoa ushauri  kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo Ndondo Cup ili kufanya mashindano hayo kupiga hatuabele zaidi.Source: Shaffih DaudaRead More