Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ataka uchunguzi ufanyike ndani ya ubalozi wa Saudia jijini Istanbul - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ataka uchunguzi ufanyike ndani ya ubalozi wa Saudia jijini Istanbul

Erdogan ameitaka Saudia kutoa ushahidi kuhusiana na mwandishi wa habari aliyepotea kwamba alitoka nje ya majengo ya ubalozi wao mjini Istanbul.


Source: BBC SwahiliRead More