RAIS WA ZANZIBAR AFANYA ZIARA CHUO CHA UTALII, MJINI BALI INDONESIA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR AFANYA ZIARA CHUO CHA UTALII, MJINI BALI INDONESIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara alipotembelea katika chuo hicho jana kiliopo Bali Indonesia akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea mashada ya mauwa kama ishara ya mapokezi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wakati alipowasili katika Chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati).Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indonesia Nd,INyoman Sudiksa ,SE.M.Par alipotembelea katika chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More