RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR AHUDHURIA MAHAFALI YA 14 CHUO CHA TAIFA SUZA TUNGUU

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA Dkt. Ali Mohamed Shein, akiingia katika ukumbi wa Mahafali ya 14 YA SUZA, akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Profesa Idrisa Rai.(Picha na Ikulu) /BAADHI ya Wahitimu wa Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu Cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano wakiingia katika ukumbi wa Mahafali wa Dk. Ali Mohamed Shein, Tunguu Zanzibar.(Picha na Ikulu) WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano ya Mahafali ya 14 ya SUZA wakiingia katika ukumbi wa hafla hiyo ya Dkt.Ali Mohamed Shein, Tunguu Zanzibar.(Picha na Ikulu)  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Dkt. Ali Mohamed Shein, akimtunuku Shahada ya Uzamivu ya Kiswahili Ndg. Ali Saleh Khalfan, ya Utafiti wa Istilahza Kiswahili :Mfano wa Istalahi za Sayansi ya Komyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, wakati wa hafla ya... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More