RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AHUDHURIA TAARAB YA KUADHIMISHA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KISWANI PEMBARAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Mhe.Balozi Ali Karume, wakifuatilia moja ya nyimbo ya kikundi hicho “Wakezi na Wakulima ” iliokuwa ikiimbwa na Msanii. Makame Faki, wakati wa hafla hiyo iliofanyika Uwanja wa Kufurahishia Watoto Tibirinzi Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwanachama wa CUF Mbunge Mstaaf Mussa Haji Kombo, baada ya kumaliza hafla ya Taraab rasmi ya kusherehekea Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar, iliofanyika katika Uwanja wa Kufurahishia Watoto Tiborinzi Chakechake Pemba.kushoto Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe. Profesa Ibrahim Lipumba, wakiagana baada ya kumalizika kwa Taarab, jana usiku.12-1-2019.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Waziri wa Vijana Michezo Utamaduni na Sanaa Mhe. Balozi Ali Abeid Karume, baada ya ... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More