RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AMTUMIA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MTAWALA WA SHARJAH - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AMTUMIA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MTAWALA WA SHARJAH

Balozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe .Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, kulia akiwasilisha Salamu za rambirambi kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein kwa Mtawala wa Sharjah Sheikh Khalid bin Sultan Mohammed Al Qasimi, kushoto hafla hiyo imefanyika katika makazi yake Sharjah. (Picha na Ikulu) Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG


Source: KajunasonRead More