RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 55 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Kisiwani Pemba,kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zinazotarajiwa kufanyika kesho Januari 12/2019, katika Uwanja wa Ngombani Pemba.(Pichja na Ikulu) IMG_8767RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa  Karume Chakechake  Kisiwani Pemba, akielekea katika chumba cha VIP.(Picha na Ikulu) IMG_8769RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama waliopfika kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Kisiwani Pemba, baada ya kuwasili kisiwani humo kuhudhuria Maadhimisho ya Sherehe za Mi... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More