RAIS WA ZANZIBAR.DK.SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA IKULU ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR.DK.SHEIN, AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA IKULU ZANZIBARRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Tanzania Nchini Zambia Mhe.Balozi Hassan Simba Yahya, alipofika Ikulu Zanzibar leo 22-3-2019, kwa mazungumzo na Rais.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Mhe. Hassan Simba Yahya, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo 22-3-2019(Picha na Ikulu)
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Tanzania Nchini Zambia Mhe. Balozi Hassan Simba Yahya, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo,22-3-2019.(Picha na Ikulu)
... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More