RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA ZANZIBAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar, katika mkutano wa Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019,uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 22-8-2019.kulia kwa Rais Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe.Khamis Juma Mwalim.(Picha na Ikulu) WAZIRI wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Khamis Juma Mwalim akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwezi wa Julai 2018 hadi Juni 2019, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hayupo pichani na kushoto Mshauri wa Rais Pemba Mhe. Dk. Maua Abeid Daftari(Picha na Ikulu)WATENDAJI wa Wizara ya Sheria na Katiba Zanzibar , wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji wa Baj... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More