RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA ZSTC ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA ZSTC ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kutowa nasaha zake kwa Uongozi wa ZSTC na wananchi waliohudhuria hafla ya kuadhimisha Miaka 50 ya Shirika hilo zilizofanyika jana usiku katika viwanja vya hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.2-12-2018.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Afisa Masoko wa Shirika la Biashara la Taifa (ZSTC) Nassor Salum Nassor, wakati akitembelea maonesho ya Bidhaa za ZSTC wakati wa maadhimisho ya 50 zilizofanyika katika viwanja vya Hotel Verde Mtoni Zanzibar,kushoto Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mke waMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, Makamu Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salumu Ali, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya hotel Verde jana usiku.

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Mama Fatma ... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More