RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akifungua Mkutano wa kujadili utekelezaji wa bajeti na Mpango Kazi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kuanzia mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019 na Uongozi wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 21-8-2019. Kulia kwa Mhe. Rais ni Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Riziki Pembe Juma.Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma na Mshauri wa Rais Pemba Mhe Maua Abeid Daftari , wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hayupo pichani akingoza mkutano huo wa Utekelezaji wa Bajeti na na Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.BAADHI ya Maofisa wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar , wakif... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More