RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI UTALII NA MAMBO YA KALE IKULU NDOGO KIBWENI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI UTALII NA MAMBO YA KALE IKULU NDOGO KIBWENI RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni, wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyokwa mwezi Julai 2018 hadi March 2019.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kushoto Mhe,. Mahmoud Thabit Kombo akisoma Utelelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, kwa mwezi wa Julai 2018 hadi March2019, uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar na kushoto Naibu Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Chuom Kombo Khamis.KATIBU Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, wa Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More