RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEINA ZUNGUMZA NA VYAMA VYA UPINZANI LEO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEINA ZUNGUMZA NA VYAMA VYA UPINZANI LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na viongozi wa Vyama vya Upinzani katika mkutano wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar(wa nne kushoto) Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe.Ibrahim Haruna Lipumba Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Magalie John P.Shibuda alipokuwa akitoa mchango wake katika Mkutano wa kushauriana na Vyama vya Upinzani pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika leo  katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) katika  picha ya pamoja na  Vyama vya Upinzani baada ya  mkutano wa pamoja wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Magal... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More