RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK SHEIN AKIIPOKEA MELI MPYA YA MAFUTA YA MT. MAPINDUZI 2 IKIWASILI ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK SHEIN AKIIPOKEA MELI MPYA YA MAFUTA YA MT. MAPINDUZI 2 IKIWASILI ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia Meli Mpya ya Mafuta ya MT.UKOMBO II,Ikiwasili kuelekea katika bandari ya Malindi Zanzibar ikitokea Shanghai Nchini China, iliyotengenezwa na Kampuni ya Damen Shipyard ya Uholanzi.(Picha na Ikulu) ……………. 
HATIMAE ahadi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein aliyowaahidi wananachi wa Zanzibar kuwa Serikali anayoiongoza itanunua meli mpya ya mafuta MT MKOMBOZI II leo imetimia baada ya meli hiyo kuwasili katika Bandari ya Zanzibar ikitokea Shanghai nchini China. 
Rais Dk. Shein akiwa Ofisini kwake Ikulu mjini Zanzibar alipata fursa ya kuiona meli ya MT MKOMBOZI II ikiwasili kutoka ukingoni mwa pwani ya Zanzibar ikitokea usawa wa kisiwa cha Chumbe na kuelekea katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja ilipokwenda kutia nanga. 
Akiwa katika varanda ya jengo la Ikulu mjini Zanzibar Rais Dk. Shein alionekana akiwa na... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More