RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR IKULU NDOGO KIBWENI ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR IKULU NDOGO KIBWENI ZANZIBAR


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua wa Utekelezaji wa Mpango Kazi Wiizara ya Biashara Viwanda Zanzibar, katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.(Picha na Ikulu) IMG_6629WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali kulia na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Ali Khamis wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango wa Wizara ya Biashara na Viwanda kwa mwezi wa Julai 2018 na Marchi 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, wakiwa na Maofisa wa Idara za Wizara hiyo.(Picha na Ikulu) IMG_6632WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali akisoma taarifa ya Wizara yake wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdu... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More