RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA WANACHAMA CCM WILAYA YA MJINI UKUMBI WA AMANI MKOA

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Talib Ali TRalib, wakiwa wamesimama wakipiga makofi baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani , kuzungumza na Wana CCM wa Wilaya ya Mjini akiwa katika ziara yake leo.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na WanaCCM wa Mkoa wa Mjini waki wa ziara yake, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani kushoto Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi na kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali Talib.(Picha na Ikulu)NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Abdallah Juma Mabodi akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa Z... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More