Ramos afunguka kuhusu kocha wa Real Madrid - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ramos afunguka kuhusu kocha wa Real Madrid

Nahodha wa Real Madrid, Sergio Ramos amesema, kwa sasa ni mapema mno kuzungumzia suala la kufutwa kazi kwa kocha wao mkuu, Julen Lopetegui  licha kuwa wanapata matokeo mabaya ni vizuri wachezaji wenyewe wakatambua majukumu yao.


Source: MwanaspotiRead More