“Ramsey akiondoka ni uhalifu wa kisoka” Merson - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Ramsey akiondoka ni uhalifu wa kisoka” Merson

Paul Merson: Kumwachia mchezaji wa hadhi ya Ramsey kirahisi rahisi ni uhalifu mkubwa wa kisoka. Uongozi wa Arsenal umefilisika kifikra. Tatizo la Ozil bado hawajatatua leo Ramsey anaondoka kizembe. Wasahau kupata mafanikio ambayo waliyapata miaka 20 iliyopita.


Klabu ya Seville inamuwinda fowadi hatari wa Chelsea Alvaro Morata. Seville imesema ipo tayari kumlipa kitita cha Paundi milioni 5 kwa mwaka. Seville inajaribu kumnasa kwa mkopo huku wakitarajia hapo baadae kupeleka ofa ya Paundi milioni 35 kumnasa moja kwa moja.


Chelsea wapo mbioni kuwasajili Nicolo Barella kutoka Cagliari pamoja na kiungo kutoka Zenit Leandro ParedesHenri Camara: Tunasali kumwombea Sadio Mane aweze kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika.


🎉 Happy Birthday David Silva


🏟 569 Mechi
🇪🇸 125 taifa
⚽ 105 Magoli
🎯 152 Assists


1 🏆🇪🇸 Copa Del Rey


3 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Premier League

3 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 League Cup

2 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Community Shield

1 🏆🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 FA Cup


2 🏆🇪🇺 European Championship

1 🏆🌍 FIFA World Cup


🎩 ‘El Mago’ – The Magician.


Bayern haijachoka bado kumfuatilia kinda wa Chelse... Continue reading ->
Source: Shaffih DaudaRead More