Rangi ya CCM ni ile ile - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rangi ya CCM ni ile ile

WAKATI wa Rais Jakaya Kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alianza kwa makeke yaliyomsisimua kila Mtanzania.Anaandika Mhode Mkasimongwa … (endelea). Moja ya makeke hayo ni semina elekezi kwa viongozi aliowateua toka mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya. Semina hizi zilifanyika Hoteli ya Ngurudoto mkoani Arusha. Kila mmoja aliona jinsi ajenda za maendeleo ...


Source: MwanahalisiRead More