RANGI YA MWAKA 2019 NI LIVING CORAL - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RANGI YA MWAKA 2019 NI LIVING CORAL

Mwaka 2018 tulikua na ULTRA VIOLET  shade ya Purple hii ambayo ni favorite color ya Designer ,philanthropist,entrepreneur Khadija Mwanamboka me napenda kumuita PURPLE GIRL she loves her purple .


Hawa Pantone wao wamejipa authority duniani ya kuchagua rangi za kila mwaka na mwaka huu wamekuja na LIVING CORAL ,hii inatokana na maisha ya viumbe vinavyoishi kwenye maji  na maisha yao kwa ujumla ambayo mwisho wa siku wanadamu tunaharibu kwa chemicals na sumu kibao zinazoelekezwa kwenye maji ,hivyo kutishia uhai wa viumbe hivyo.


“Just as coral reefs are a source of sustenance and shelter to sea life, vibrant yet mellow, Pantone 16-1546, Living Coral embraces us with warmth and nourishment to provide comfort and buoyancy in our continually shifting environment,” Pantone announced Wednesday.Ujumbe umebeba OPTIMISISM
Rangi ya kila mwaka kwa Pantone wao huchagua basing on  socioeconomic conditions, fas... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More