Rapa Motra The Future amtangazia vita Jonijoo wa Wasafi TV ‘kaniibia Babaako, Diamond anajua nitamfanya mbaya’ (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rapa Motra The Future amtangazia vita Jonijoo wa Wasafi TV ‘kaniibia Babaako, Diamond anajua nitamfanya mbaya’ (+video)

Rapper Motra The Future kutoka Arusha ametangaza vita mtangazaji wa Wasafi TV, Jonijoo kwa kile anachodai kuwa amechukua jina lake la ‘BABAAKO’ na kuanza kulitumia kwenye kazi zake bila kuomba.The post Rapa Motra The Future amtangazia vita Jonijoo wa Wasafi TV ‘kaniibia Babaako, Diamond anajua nitamfanya mbaya’ (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More