Rapa Tyga atangaza ujio wa bidhaa yake mpya ya bangi ‘TasteKush’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rapa Tyga atangaza ujio wa bidhaa yake mpya ya bangi ‘TasteKush’

Rapper Tyga kutoka Marekani baada ya single yake ya Taste kupokelewa vizuri ameamua kutumia fursa hiyo kutangaza ujio wake wa biashara ya Bangi aliyoiita jina la Taste Kush.


Tyga

Tyga amethibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika “Lil babies @tastekush🐲 coming soon” caption ambayo ilisindizwa na picha yake akiwa kwenye bustani ya bangi.


Ujio wa bidhaa hiyo ya Taste Kush itakuwa ni changamoto kubwa kwa wasanii wenzake ambao tayari wameshaanzisha biashara hiyo akiwemo Wiz Khalifa, Snoop Dogg, The Game na wengineo.


The post Rapa Tyga atangaza ujio wa bidhaa yake mpya ya bangi ‘TasteKush’ appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More