RAS MSOVELA AFUNGA MASHINDANO YA UMITASHUMTA 2019 SHINYANGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RAS MSOVELA AFUNGA MASHINDANO YA UMITASHUMTA 2019 SHINYANGA

Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga,Albert Msovela (katikati) akizungumza wakati wa kufunga Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA – 2019) mkoa wa Shinyanga katika uwanja wa CCM Kambarage leo Juni 11,2019. Kulia ni  Kaimu Afisa Elimu mkoa wa Shinyanga,Dedan Rutazika,kushoto ni Afisa Michezo halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Joseph Bihemo. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde1 blog. Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga, Albert Msovela akizitakia mchezo mwema timu zilizofuzu fainali mashindano ya UMITASHUMITA 2019 mkoa wa Shinyanga ambazo ni Halmashauri ya Msalala (jezi rangi ya machungwa) na Halmashauri ya wilaya ya Kishapu (jezi za bluu).Kaimu Afisa Elimu mkoa wa Shinyanga,Dedan Rutazika akizungumza wakati wa kufunga mashindano ya UMITASHUMTA 2019 mkoa wa Shinyanga.Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga,Albert Msovela akisalimiana na kuwakagua wachezaji wa timu ya Kishapu.Katibu Tawala mkoa wa Shinyanga,Albert Msovela akisalimiana na kuwakagua wacheza... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More