RASHFORD AIFUNGIA ENGAND BAO PEKEE YAILAZA 1-0 USWISI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RASHFORD AIFUNGIA ENGAND BAO PEKEE YAILAZA 1-0 USWISI

Marcus Rashford akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee England dakika ya 54 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Uswisi kwenye mchezo wa kirafiki usiku huu Uwanja wa King Power mjini Leicester hilo likiwa bao lake la tano kuifungia timu yake ya taifa Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More