RASMI: Huawei wazindua mfumo wao endeshi mpya wa ‘Harmony-OS’, Waahidi kuwapoteza Android sokoni - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RASMI: Huawei wazindua mfumo wao endeshi mpya wa ‘Harmony-OS’, Waahidi kuwapoteza Android sokoni

Hatimaye kampuni ya Huawei imezindua rasmi mfumo wake endeshi (Operating System) ujulikanao kwa jina la Harmony-OS utakaotumika kwenye simu zao za Huawei.Mfumo huo umezinduliwa leo Agosti 9, 2019 kwenye mkutano wa wabunifu wa kampuni hiyo nchini China, ikiwa ni mizezi michache imepita tangu Kampuni hiyo ifutiwe kibali cha kutumia mfumo endeshi wa Android.A modularized #HarmonyOS can be nested to adapt flexibly to any device to create a seamless cross-device experience. Developed via the distributed capability kit, it builds the foundation of a shared developer ecosystem #HDC2019 pic.twitter.com/2TD9cgtdG8


— Huawei Mobile (@HuaweiMobile) August 9, 2019Akiongea kwenye mkutano huo, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Richard Yu amesema kuwa mfumo huo utakuwa wa spidi zaidi kwenye simu na Smart TV kuliko hata ule wa Android.


Yu amesema kuwa mfumo wa HarmonyOS ulianza kutengenezwa mwaka 2017 ulijulikana kwa jina la HongmengOS kabla ya leo kuzinduliwa.


Mfumo wa HarmonyOS utaanza kutu... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More