Rayvanny aimba Masozy ya Alikiba,adai hakuna msanii atakayetokea kama Diamond, agawa mafuta kwa madereva bajaj na Pikipiki (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rayvanny aimba Masozy ya Alikiba,adai hakuna msanii atakayetokea kama Diamond, agawa mafuta kwa madereva bajaj na Pikipiki (+Video)

Msanii wa muziki wa bongo Fleva kutoka lebo ya muziki ya WCB Ryavanny wakati wa tukio la kugawa mafuta bure kwa madereva Bajaj na Pikipiki amefunguka kupitia Bongo 5 na kueleza jins alivyofurahishwa na tukio hilo.Baada ya kumaliza zoezi zima la kugawa mafuta tulipata muda wa kuongea nae na aliweza kuim,ba wimbop wa masozi ya alikiba shuhudia rayvanny akiimbaHapa wakati anawasili na zoezi zima la kugawa mafuta
By Ally Juma.


The post Rayvanny aimba Masozy ya Alikiba,adai hakuna msanii atakayetokea kama Diamond, agawa mafuta kwa madereva bajaj na Pikipiki (+Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More