Rayvanny akubali yaishe aufuta wimbo wa ‘Mwanza’ You Tube - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rayvanny akubali yaishe aufuta wimbo wa ‘Mwanza’ You Tube

Hatimaye msanii wa muziki nchini Rayvann ameamua kuutoa wimbo wake na DiamondPlatnumz uliyojulikana kwa jina la ‘Mwanza’ baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).Wimbo huo wa Mwanza uliyopostiwa siku ya Jumamosi kwenye You Tube ulikuwa unashika nafasi ya kwanza kwenye mtandao huo na kufanikiwa kutazamwa na zaidi ya watu milioni 1.5.


Kwa mujibu wa BASATA imewatoza jumla ya milioni tisa, ambapo DiamondPlatnumz milioni tatu, Rayvanny milioni tatu na kampuni ya Wasafi milioni tatu.


The post Rayvanny akubali yaishe aufuta wimbo wa ‘Mwanza’ You Tube appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More