RayVanny: Sio ishu kutoka kimapenzi na kila staa, sitaki nije nijute baadae (Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RayVanny: Sio ishu kutoka kimapenzi na kila staa, sitaki nije nijute baadae (Video)

Msanii wa muziki kutoka WCB, Rayvanny amesema hataki kabisa ishu za kubadili wasichana kama wanavyofanya baadhi ya wasanii wa muziki. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anakaa na mpenzi wake pamoja na mtoto wake mmoja, ameiambia Bongo5 kwamba ataishi maisha yake ili asije kujuta huku baadaye.The post RayVanny: Sio ishu kutoka kimapenzi na kila staa, sitaki nije nijute baadae (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More