RC ARUSHA AZURU KAYA ZILIZODHANIWA KUATHIRIKA KWA MAJI SAFI KUCHANGANYIKA NA MAJI TAKA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC ARUSHA AZURU KAYA ZILIZODHANIWA KUATHIRIKA KWA MAJI SAFI KUCHANGANYIKA NA MAJI TAKAMkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akizungumza na waandishi wa habari katika mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kuwatembelea wananchi ili kuwasikiliza na kujua ukweli kuhusiana na sakata la maji mkoani hapo. Picha na Vero Ignatus.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira,Mhandisi Ruthy Koya akiongea na waandishi wa habari ambapo amesema wataalam wamechunguza maji hayo na kubaini kuwa hayana tatizo na kusisisitiza wananchi kuendelea kuyatumia kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Ghambo, kushoto kwake ni Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Hospitali ya Mkoa ,Dk,Omary Chande
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akimsikiliza mmoja wa wazee katika baadhi ya mitaa aliyoitembelea.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrosho Gambo akinywa maji kwenye moja ya kaya aliyoitembelea ambapo maji hayo wananchi wamekuwa akiyashuku kuwa siyo salama,na kuwahakikishia kuwa ni salama na hayana tatizo.

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira,(AUWSA) Mhandisi Ruth K... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More