RC Chalamila atibua nchi, ajitetea - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC Chalamila atibua nchi, ajitetea

KITENDO cha Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuingilia majukumu ya walimu wa Shule ya Sekondari Kiwanja, Chunya kwa kuchapa viboko vitatu kila mwanafunzi, kimetibua wengi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Chalamila aliwachapa viboko wanafunzi 14 jana tarehe 3 Oktoba 2019, kwa tuhuma za kuhusika katika kuchoma moto mabweni mawili ya shule hiyo tarehe 1 Oktoba 2019, ...


Source: MwanahalisiRead More