RC CHALAMILA AYASHUKIA MAKAMPUNI YA UNUNUZI WA TUMBAKU. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC CHALAMILA AYASHUKIA MAKAMPUNI YA UNUNUZI WA TUMBAKU.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akisaini kitabu maalumu kuashiria uzinduzi rasmi wa soko la Tumbaku Msimu wa 2018/19 Kimkoa katika Wilaya ya Chunya.Mkuu wa Mkoa Mbeya Mh .Albert Chalamila akizugumza na wananchi wa Kijiji Cha Mtande Halmashauri ya Wilaya ya Chunya (Hawapo Pichani)Mara baada ya kuzindua soko la Tumbaku Msimu wa 2018/19, ambapo pia uliendana na uwekaji wa Jiwe la Msingi Chama cha Ushirika Cha Msingi Mtande Chunya Meckfason Moshi Mteuzi wa Tumbaku Mbeya na Iringa akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mbeya Mh .Albert Chalamila (Katikati) Mara baada ya kuzindua rasmi soko la Tumbaku msimu wa 2018/19 ,Kulia Mkuu wa Wilaya ya Chunya Merryprisca Mahundi.

SERIKALI Mkoani Mbeya imeyataka Makampuni ya ununuzi wa zao la tumbaku Wilayani Chunyani Mkoani Mbeya kuacha tabia ya kuwalalia wakulima wa zao hilo kwa kununua bei ndogo ambayo hainendani na gharana za uzalishaji.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Albert Chalamila wakati akizindua Soko la Tumbaku Kimkoa msimu wa 2018/2019 uzinduzi amba... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More