RC Dodoma ataka uwekezaji wenye tija - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC Dodoma ataka uwekezaji wenye tija

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa ili kuwa na jiji lenye maendeleo ya haraka ni lazima wawekezaji wawekeze kwenye miradi yenye manufaa kwa jamii na kwa taifa. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Mbali na hilo mkuu huyo aliwataka wawekezaji kuhakikisha wanawekeza kwenye miradi ambayo inaliongezea taifa kipato kutokana na kulipa kodi ...


Source: MwanahalisiRead More