RC GAMBO AITAKA KAMPUNI YA UWINDAJI YA GREEN MILES SAFARI KURIPOTI MBELE YA KAMATI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC GAMBO AITAKA KAMPUNI YA UWINDAJI YA GREEN MILES SAFARI KURIPOTI MBELE YA KAMATI

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akizungumza wakati alipoagiza mmiliki wa Kitalu cha Kampuni ya Uwindaji ya Green Miles Safaris Ltd, kuripoti mbele ya kamati aliyoiunda ili kueleza sakata la kuuawa Twiga katika kitalu chake na kushindwa kuvilipa vijiji 23 kiasi cha sh 329 milioni ,wananchi wameipongeza serikali kuingia kati mgogoro huo.Viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido wakiwa katika mkutano huo wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.Mkuu wa wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe akizungumza na kusema amekuwa akipokea vitisho kutoka sehemu mbalimbali kutokana na kuigusa kampuni hiyo lakini alisisitiza kusimamia sheria pamoja na maagizo aliyopewa na Rais John Magufuli katika kutetea wanyonge na maagizo ya Rc Gambo juu ya kutatua shida za wananchi wake hivyo atasimama kidete kuhakikisha haki inatendeka.

Mwandishi Wetu,Longido.
Wakati Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akiagiza mmiliki wa Kitalu cha Kampuni ya Uwindaji ya Green Miles Safaris Ltd, kuripoti mbele ya kamati aliyoiund... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More