RC GEITA ATEMBELEA MIRADI YA HUDUMA ZA JAMII - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC GEITA ATEMBELEA MIRADI YA HUDUMA ZA JAMII

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Mandisi Robert Gabriel (Mwenye kofia) ameendelea kufuatilia hatua za utekelezaji wa Miradi mbalimbali Mkoani Geita kwa kufanya ziara na kuona miradi inayotekelezwa kwa fedha za Huduma kwa Jamii (CSR) kutoka Mgodi wa Dhahabu Geita (GGM).
Ametembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Mzunguko wa Kisasa (Round About) inayojengwa Halmashauri ya Mji wa Geita. Awapongeza mafundi, ashauri ujenzi uendelee siku zote ili kazi hiyo ikamilike kwa wakati.
Mhe. Mandisi Gabriel amesema na wasimamizi wa mradi kwa kusema, ‘zingatieni thamani ya fedha (Value for Money) na ubora, lakini pia ikibidi mnara unaojengwa ukamilike kabla ya mwaka kuisha kwa kuwa sisi waandisi tukiwa na sikikuu nchi haitajengwa’. Pia amesifu usanifu wa mchoro wa Mnara utakao kaa katikati ya Round About hiyo ukiwa na uwakilishi wa vitu mbalimbali mfano alama ya Mwenge wa Uhuru (uwakilishi wa taifa letu), Matofali ya Dhahabu (alama ya utajiri wa madini) lakini pia itakuwepo saa ambayo inaonyesha kiwan... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More