Rc Hapi apiga marufuku vifungashio vya mifuko ya Plastiki visivyo na TBS - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Rc Hapi apiga marufuku vifungashio vya mifuko ya Plastiki visivyo na TBS

Mkuu wa wilaya ya Mufindi Jamahuri Wiliam ( kulia) akimkabidhi jana mkuu wa mkoa wa Iringa Alli Hapi mifuko kilo 344 ya Plastiki ambayo imesalimishwa na wafanyabiashara wa Mufindi kwa ajili ya kuteketezwa ,mwenye sare za kijani ni mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mufindi Daud Yassin (picha na Francis Godwin) Mkuu wa mkoa wa Iringa Alli Hapi akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Mufindi katika viwanja vya mashujaa jana wakati wa kilele cha siku ya mazingira duniani ,maadhimisho yaliyofanyika kimkoa katika mji wa Mafinga wilaya ya Mufindi Mkuu wa mkoa wa Iringa Alli Hapi akionyesha jana wakati wa maadhimisho ya siku ya mazingira duniani mjini Mafinga aina nyingine ya mifuko ya plastiki ambayo inatumiwa na wafanyabiashara ndogo ndogo mkoani Iringa kuwa vifungashio badala ya rambo ,mifuko ambayo pia ameipiga marufuku kuendelea kutumika (picha na Francis Godwin) 


NA Francis Godwin, Iringa 
Wafanyabiashara mbali mbali wilayani Mufindi mkoani Iringa wamesalimisha jumla ya kilo 344 za mifuko ya... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More