RC MAKONDA AIBUKIA KIMARA MWISHO KUJIONEA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI WA DART - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC MAKONDA AIBUKIA KIMARA MWISHO KUJIONEA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI KUHUSU MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI WA DART

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akizungumza na Wakazi wa Kimara mara baada ya kutembelea kituo cha Mabasi ya Mwendokasi na kujionea kero na changamoto za mradi huo na kuahidi kwenda kuzungumza na Waziri wa Tamisemi, Suleimani Jaffo ili kulitafutia ufumbuzi wa haraka.
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda  akitembelea eneo la kituo na kujionea Changamoto zilizopo
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda , akifungua geti lililofungwa  eneo la Kimara Mwisho Wananchi wasipite na kuamuru litumike kuanzia leo ili kiupunguza kero kwa Wananchi
 Wananchi waliokuwa wamefurika eneo la Kimara kusubiri Mabasi ya Mwendokasi asubuhi ya leo.
 Abiria wakiwa wamebanana  ndani ya basi la Mwendokasi  kutokana na uchache wa mabasi
 Wakazi wa Mbezi na Kimara wakiwa wamejazana kumsikiliza mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam eneo la Kimara Mwisho... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More