RC MAKONDA ATEMBELEA KIMARA NA KUJIONEA CHANGAMOTO ZA MRADI WA DART - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC MAKONDA ATEMBELEA KIMARA NA KUJIONEA CHANGAMOTO ZA MRADI WA DART

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akizungumza na Wakazi wa Kimara mara baada ya kutembelea kituo cha Mabasi ya Mwendokasi na kujionea kero na changamoto za mradi huo na kuaidi kwenda kuzungumza na Waziri wa Tamisemi, Suleimani Jaffo hili waweze kutatua kero hiyo.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akitembelea eneo la kituo na kujionea Changamoto zilizopo.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akifungua geti lililofungwa eneo la Kimara Mwisho Wananchi wasipite na kuamuru litumike kuanzia leo hili kiupunguza kero kwa Wananchi.Wananchi waliokuwa wamefurika eneo la Kimara kusubiri Mabasi ya MwendokasiAbiria wakiwa wamebanana ndani ya basi la Mwendokasi kutokana na uchache wa mabasiWakazi wa Mbezi na Kimara wakiwa wamejazana kumsikiliza mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam eneo la Kimara Mwisho.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More