RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO. - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC MAKONDA ATEMBELEWA NA RAIS WA TFF, WAWEKA MIKAKATI THABITI YA KUIMARISHA MICHEZO.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelewa ofisini kwake na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Wallace Karia na Mwenyekiti wa Michezo Mkoa wa Dar es Salaam ambapo wamefanya mazungumzo ya kuimarisha sekta ya Michezo.

Miongoni mwa mambo waliyozungumzia ni Suala la heshima iliyopata Tanzania kuwa mwenyeji wa Michuano ya Mashindano makubwa ya michezo kwa Jeshi la Polisi katika nchi za mashariki na Kati zikihusisha Nchi Saba ambapo tayari michuano hiyo imefunguliwa rasmi siku ya Jana na Waziri mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa.

Aidha wamezungumzia maandalizi ya mashindano makubwa ya SECAFA Cuf kwaajili ya michuano ya AFCON yakihusisha vijana wenye umri chini ya miaka 17 yanayotaraji kufanyika August 11 Mwaka huu kwenye uwanja wa Taifa yakijumuisha mataifa 10 Afrika.

RC Makonda amesema michuano yote hiyo itafanyika Jijini Dar es salaam na kwakuwa inahusisha ugeni kutoka mataifa mbalimbali itatoa fursa kwa wananchi wa Dar es salaam hususani... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More