RC MBEYA APOKEA MSAADA WA MIFUKO 140 YA MBOLEA AINA YA UREA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC MBEYA APOKEA MSAADA WA MIFUKO 140 YA MBOLEA AINA YA UREA

 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chamilla(kushoto)pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini,Paul Nchinika wakipokea  mmoja wa mfuko wa mbolea kati ya 140 ya Urea kwa ajili ya vikundi vya kina mama wanaojishughulisha na kilimo mkoani humo kutoka kwa Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya GSM Tanzania Matina Nkurlu(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chamilla(watatu kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya mjini Paul Nchinika wakimshuhudia Maria Mwamulungu(kushoto) ambaye ni mmoja wa kina mama wanaojishughulisha na kilimo mkoani humo akipokea moja ya mfuko kati ya 140 ya mbolea aina ya Urea kwa niaba ya wenzake kutoka kwa Meneja Mawasiliano wa kampuni hiyo,Matina Nkurlu(kulia)Wakina mama wanaounda vikundi vya kujishughulisha na kilimo mkoani Mbeya,Wakiimba nyimbo za furaha pamoja na  Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa GSM Tanzania,Matina Nkurlu(katikati) baada ya kukabidhiwa msaada wa mifuko ya mbolea 140 aina ya Urea.... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More