RC MNYETI AAGIZA WALIONYANG'ANYWA ARDHI KITETO WAPEWE MAENEO MENGINE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC MNYETI AAGIZA WALIONYANG'ANYWA ARDHI KITETO WAPEWE MAENEO MENGINE

 MKUU wa Mkoa wa Manyara, Alexander Pastory Mnyeti ameagiza wakazi wawili wa Wilaya ya Kiteto walionyang'anywa maeneo yao na kujengwa  taasisi za Serikali wapewe maeneo mengine. 
Mnyeti alitoa agizo hilo kwenye mkutano wa hadhara wakati akizungumza na wananchi wa kata za Matui na Bwawani, wilayani Kiteto kwenye ziara yake ya siku tano ya kukagua miradi ya maendeleo, kusikiliza kero na changamoto za wananchi, kuyapatia majawabu na kuzungumza na wananchi. 
Alisema kutokana na maeneo ya wananchi hao kuchukuliwa na taasisi za serikali na kujengwa shule ingetakiwa wapewe maeneo mengine ili kufidia maeneo yao. 
"Mkurugenzi nakuagiza utoe maeneo mengine wapewe hawa wananchi waliochukuliwa maeneo yao kwa ajili ya kufidiwa kwani japo ni suala la maendeleo lakini wanapaswa kupata haki zao. 
Alisema baadhi ya kero ambazo hazina sababu ya kuachwa zinapaswa kutatuliwa kwani wananchi wengine wataichukia serikali yao bila sababu ya msingi. 
Awali, mkazi wa kijiji cha Matui Juma Masare alilalamikiwa k... Continue reading ->





Source: Issa MichuziRead More