RC SHIGELLA ATOA AGIZO KWA WALIMU WANAOFUNDISHA TWISHENI KUFANYA KAZI HIYO NJE YA MAJENGO YA SHULE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

RC SHIGELLA ATOA AGIZO KWA WALIMU WANAOFUNDISHA TWISHENI KUFANYA KAZI HIYO NJE YA MAJENGO YA SHULE

MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza na wananchi wa Kata ya Tangasisi wilaya ya Tanga wakati wa ziara yake ya kawaida kufuatilia utekelezaji wa ilani ya CCM na kupata nafasi ya kusikiliza kero za wananchi ambayo inafanyika mkoa mzima kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kulia ni Diwani wa Kata ya Tangasisi Mohamed Haniu MKUU wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa akizungumza wakati wa ziara hiyo  Diwani wa Kata ya Tangasisi (CUF) Mohamed Haniu akizungumza wakati wa ziara hiyo Sehemu ya wananchi wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella ambaye hayupo pichani wakati akizungumza naoSehemu ya wakazi wa Kata ya Tangasisi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa TangaSehemu ya wakazi wa Kata ya Tangasisi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga
MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella ameagiza walimu wanaofundisha Twisheni wafanye kazi hiyo nje ya majengo ya shule na nje ya muda wa kazi ili watoto watumie muda mwingi zaidi kusoma na kufundishwa.
Shigella aliyasema hayo ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More