REAL MADRID WACHAPWA TENA...2-1 TENA PALE PALE BERNABEU - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

REAL MADRID WACHAPWA TENA...2-1 TENA PALE PALE BERNABEU

Karim Benzema na Gareth Bale wakisikitika baada ya Real Madrid kupoteza tena mechi kufuatia kufungwa nyumbani, Uwanja wa Santiago Bernabeu mabao 2-1 na Levante katika mchezo wa La Liga leo. Mabao ya Levante yamefungwa Jose Luis Morales dakika ya sita na Roger Marti dakika ya 13 kwa penalti kabla ya Marcelo kuifungia Real Madrid la kufutia machozi dakika ya 72 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More